Customize

Tanzania

Discussion in 'Other Countries' started by mojaz, Apr 25, 2018.

  1. mojaz Member

    Baada ya JF kushambuliwa japo hamna uhakika juu ya hilo, tujihifadhi humu kwa muda Wandugu.
  2. Ila wanakosea, kupinduliwa haiwezekani, utaanzaje?! Msafara wake tu wala mabilioni kwa mwezi, bado wenzake, wanajilinda na nini hasa?!
  3. mojaz Member

    Jamiiforums bado hali tete.
  4. mojaz Member

    TABORA: Jeshi la Polisi linamshikilia Katibu wa CHADEMA wa Wilaya ya Kaliua, Rajabu Itembele kwa tuhuma za kuratibu maandamano yaliyopigwa marufuku
    KATAVI: Jeshi la Polisi linamshikilia Mwanachana wa CHADEMA, Amisa Korongo kwa tuhuma za kuratibu maandamano haramu.
  5. mojaz Member

  6. mojaz Member

    Kijiwe cha muda baada ya jamii forum kufunga huduma.
  7. mojaz Member

    Fungueni ac humu tupate kujuzana yanayoendelea.
  8. mojaz Member

    JF members welcooooome.
  9. ACK

    FUCK OFF TOSSER.
  10. Disambiguation Global Moderator

    mtu mbaya anakukuta. kupuuza.
  11. dovankhanh Member

Share This Page

Customize Theme Colors

Close

Choose a color via Color picker or click the predefined style names!

Primary Color :

Secondary Color :
Predefined Skins